iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelaani kitendo cha kutekwa nyara na kuuawa mwanachuoni wa Kisunni huko kusini mashariki mwa Iran na kusisitiza kuwa, watenda jinai waliotekeleza uhaini huo wanatumikia maslahi ya pande zinazopinga ustawi na umoja wa wananchi wa Iran.
Habari ID: 3476248    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/14